Nyumbani Fahamu kuhusu Uislamu Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah (Kiswahili)

Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah (Kiswahili)

Play
Upana Yaliyomo kwa Lugha ya kiarabu

Qauli yenye faida 10 Dhambi isiyo sameheka kwa Allah (Kiswahili)

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Alrawda
Maelezo:
Mada hii Inaelezea kuhusu Shirki na kwamba ni dhambi ambayo haisameheki ikiwa mtu atakufa bila kutubia, kisha akabainisha malengo ya kuumbwa mwanadamu.