Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (12)
(Kiswahili)
Lugha:Kiswahili
Maandalizi:Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo:
Mada hii inazungumzia: Uwajibu wa mtu kuiokoa nafsi yake kabla ya watu wengine, kisha imeelezea khasara ya mashekh na walinganiaji wanao khalifu dini siku ya Qiyama.
Share
Use the QR code to easily share the message of Islam with others