Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (08)
(Kiswahili)
Lugha:Kiswahili
Maandalizi:Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo:
Mada hii inazungumzia: tiba ya ususuwavu wa moyo, ikiwemo Kumuamini Allah na daraja za kumuamini Allah, kisha akabainisha kuwa imani ndio msingi wa maisha bora
Share
Use the QR code to easily share the message of Islam with others